SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

11 April 2015

TAZAMA VIDEO MAKAMUZI YA YAMATO BAND NDANI YA LINAS NIGHT CLUB APR 6,2015

Taswira katika picha yaliyojiri Usiku wa Pasaka ya pili Apr 6,2015
TAZAMA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI 

 Hivi ndivyo 'Yamoto Band' Vijana wa wenye sauti tamu na Vipaji vya hali ya juu walivyo acha gumzo ndani ya Mji wa Bukoba kwa makamuzi ya show ya hatari iliyopigwa live katika Ukumbi wa Linas Night Club.
Muhimu usisahau kujiunga nasi kwa kulike ukurasa wetu wa facebook kwa kubofya /click neno hili>>BUKOBAWADAU MEDIA kwa matukio ya picha 200 zaidi 

1 comment:

Anonymous said...

sauti mbaya ni speakers au kideo chako au waimbaji....

duh video hii inawaaribia yamoto band bora uitoe

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU