Basi la Nganga linalofanya safari Iringa - Kilombero
limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto
huko maeneo ya milimani km kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda
Morogoro.
Watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine wamekufa kwa kuteketea na moto.
Ajali hyo imetokea leo asubuhi saa 2.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment