Bukobawadau

TRACK YA MSANII DAT YAZIDI KUCHUKUA KASI!!

Msanii DAT anayefanya vyema kunako gemu la muziki wa Asili na muziki Bongo.
Msanii DAT amekuja na staili ya muziki inayoitwa “Taula Style” kupitia dhima ya kazi yake ya sanaa inayoitwa “Taula Tamaduni” ambapo anamaanisha kubadilishana utamaduni. Msanii huyo anayetokea Mkoani Kagera anatambulisha wimbo wake unaoitwa “EKIGAMBO” kama unavyosikika na kuonekana katika Video 
 TAZAMA VIDEO YA WIMBO 'EKIGAMBO'KUTOKA KWA MSANII DAT  HAPA CHINI
     Hii ndio nyimbo ya msanii  DAT aliyoiachia yapata wiki moja iliyopita, na kwa hivi sasa inaendelea kufanya vyema kupitia  vituo vyote vya Radio Mkoani Kagera na katika kituo cha TV maarufu katika ukanda huu  'Bukoba Cable Tv'.
Unaweza kusikiliza na kudownload  track hiyo katika'Audio'
Next Post Previous Post
Bukobawadau