Washiriki kutoka nchi
ishirini wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Bahari ya Hindi (IORA), wakiwa
katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Regina
Kikuli mara baada ya kufungua rasmi warsha ya siku mbili ya Menejimenti ya
Maafa leo Jijini Dar es salaam iliyoratibiwa
na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Idara ya
uratibu Shughuli za maafa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli (wa pili kulia) akisoma hotuba ya ufunguzi wa
Warsha ya Maafa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Bahari ya
Hindi (IORA), leo Jijini Dar es Salaam.kulia kwake ni Mkurugenzi Idara ya
Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen. Mbazi Msuya na (wapili kushoto) Mkurugenzi
wa Seketarieti IORA, Firdaus Dahlan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Washiriki kutoka
nchi ishirini wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Bahari ya Hindi (IORA),
wakifuatilia warsha ya Menejimenti ya Maafa inayaendelea jijini Dar es salaam
kwa kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Idara ya uratibu Shughuli za maafa.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Washiriki kutoka
nchi ishirini wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Bahari ya Hindi (IORA),
wakifuatilia warsha ya siku mbili ya Menejimenti
ya Maafa inayaendelea jijini Dar es salaam kwa kuratibiwa na Ofisi ya Waziri
Mkuu kupitia Idara ya uratibu Shughuli za maafa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli akiongea na waandishi wa habari mara baada ya
kufungua rasmi Warsha ya Maafa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda
wa Bahari ya Hindi (IORA), leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment