SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

18 April 2015

WAZIRI CHIZA AKUTANA NA KAMPUNI YA UJENZI MRADI WA KITUO CHA KUFUA UMEME KINYEREZI III

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Eng. Christopher Chiza (Mb), (katikati) akiwa na ujumbe wa kampuni ya Shangai Electic Power ya nchini China inayokusudia kujenga Kituo cha kufua umeme Kinyerezi III, walipokutana ofisini kwake kuzungumza masuala ya uwekezaji katika mradi huo, tarehe 17 Aprili 2015, (kushoto) ni Makamu wa Rais wa kampuni hiyo Bw. Guo Baohong.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU