Bukobawadau

BALOZI KAMALA AMSHUKURU MZEE NYAMTARA MUKOME KWA KAZI NZURI ALIYOFANYA UBALOZI WA TANZANIA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akimkabidhi Mzee Nyamtara Mukome zawadi ya kumshukuru kwa kazi nzuri aliyofanya  Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji alipokuwa Afisa wa Mambo ya Nje Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji masuala ya Jumuiya ya Ulaya. Mhe. Nyamtara amestaafu na wiki ijayo anarejea Tanzania.
Next Post Previous Post
Bukobawadau