SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

09 May 2015

HABARI ZA HIVI PUNDE NA ITV

Zaidi ya abiria 260 na wakiwemo watoto 90 waliokuwa wanasafiri kwa meli ya Mv Maendeleo kutoka Pemba kuelekea Unguja wamekwama kuanzia majira ya saa mbili asubuhi hadi sasa katika fungu la mchanga baharini umbali wa mita mbili.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU