Bukobawadau

TANZANIA KINARA WA UFISADI, RUSHWA NA MATUMIZI MABAYA YA PESA/ RASILIMALI ZA UMMA

TANZANIA KINARA WA UFISADI, RUSHWA NA MATUMIZI MABAYA YA PESA/ RASILIMALI ZA UMMA.

Taarifa iliyotolewa na shirika la kimataifa la Transparency International inaonesha kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza barani Afrika kwa matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za umma.

Katika taarifa hiyo Tanzania inaongoza ikifuatiwa na Sudan na Sudan Kusini. Katika nchi za Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi tu ndio zimeingia kwenye nchi kumi zinazoongoza kwa ifisadi, huku nchi ya Rwanda ikionekana kung'ara kwa kuingia chi 10 za mwisho kwa ufisadi kwa kushika nafasi ya 44.

Nchi zinazoongoza kwa ufisadi, matumizi
mabaya ya fedha za Umma, rushwa na Ubadhirifu wa fedha barani Afrika kwa mwaka 2014 ni kama ifuatavyo;

1: TANZANIA
2: Sudan
3: South Sudan
4: Libya
5: Eritrea
6: Guinea-Bissau
7: Angola
8: Burundi
9: Zimbabwe
10: DRC
11: Chad
12: jamhuri ya Congo
13: Jamhuri ya Afrika ya kati
14: Kenya
15: Uganda
16: Comoros
17: Nigeria
18: Cameroon
19: Madagascar
20: Togo
21: Gambia
22: Mauritania
23: somalia
24: Mozambique/ Msumbiji
25: Mali
26: Malawi
27: Ethiopia
28: Djibout
29: Niger
30: Algeria
31: Liberia
32: Gabon
33: Misri
34: Zambia
35: Burkina Faso
36: Morroco
37: Benin
38: Tunisia
39: Sao Tome and Principe
40: Swaziland
41: Senegal
42: South Africa
43: Ghana
44: Rwanda
45: Namibia
46: Lesotho
47: shelisheli
48: Capeverde
49: Botswana.
SOURRCE: http://www.transparency.org/cpi2014/result
Next Post Previous Post
Bukobawadau