Bukobawadau

KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI AZINDUA UUZAJI WA FILAMA ZA TANZANIA KWENYE MTANDAO

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika, Karibiani na Pasifiki Balozi Dr Patrick Gomes (kushoto) akisalimiana Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala P baada ya kuzindua Utaratibu wa Uuzaji wa Filamu za Tanzania kwenye Mtandao. Uzinduzi huo humefanyika Makao Makuu ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki Jijini Brussels Ubeligiji.
Next Post Previous Post
Bukobawadau