Bukobawadau

EXCLUSIVE: IDRIS NA WEMA MWANZA

 Madam Wema Sepetu
Wakati ile party iliokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party imefanyika jijini Dar.
Pati ambayo imeandaliwa na Zari aka Mrs Chibu Dangote pamoja na mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu bwana Diamond Platnumz aka Chibu Dangote…
Madam Wema Sepetu nae akaona alipize kisasi kwa kwenda kufaya party yake jijini Mwanza kesho/baadae ya leo May 2nd, Jembe ni Jembe Club, akiwa na Mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan. Kukiwa na fununu kwamba kwa sasa kishkwambi kipya cha Milionea mtoto huyo ni Wema Sepetu.. Je tutegemee drama jipya mjini?
Next Post Previous Post
Bukobawadau