Bukobawadau

PAMBANO LA MAYWEATHER V/S PACQUIAO

Mjini Bukoba ,Wastaarabu wote tutakuwa pale pale sehemu yetu ya wastaarabu tukipata burudani kwa ngoma kali na kutazama LIVE katika Big Screen na Projectar lile pambano la ngumi la kihistoria duniani kati ya Mmarekani Mayweather, 37,na Mfilipino Pacquiao, 36,
Ni ndani ya Linas Night Club ,mapema mashabiki wa ngumi tutajumuika na Wapenzi wa muziki kupata burudani ya kisasa mambo ya live skillz kupitia Sound kubwa na Screen zilizo enea ndani.
Mpango mzima ni Scratching na mixing za hatari kutoka kwa Madjs WAKALI wakiongozwa na DVj Y (Man selectar)

NOTE : Pacquiao na Mayweather wanaaminika ndiyo mabondia bora zaidi wa kizazi hiki kwa uzito wao.
 Kuhusu getini kama kawaida mtonyo ni ule ule + Ladies free .
Muda wa pambano ni saa 10 Alfajiri
Ukumbi: Linas Night Club.
Next Post Previous Post
Bukobawadau