Bukobawadau

MEI 21 TUNAKUMBUKA MSWIBA HUU MKUBWA NI MIAKA 19 YA AJALI YA MELI YA MV.BUKOBA

Mei 21,1996 katika ziwa Victoria,Mwanza Tanzania meli ya Mv Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha yao.Meli ilizama kilomita 30 kukaribia kutua nanga kwenye bandari ya mwanza ikitokea Bukoba.
Meli ikuwa na uwezo wa kubeba idadi ya watu 430. Kwenye first and second class orodha ya abiria ilikuwa 443 na kwenye third class hakukuwepo rekodi yoyote .Takribani 1000 walifariki kwenye ajali hiyo
  
WADAU TUUNGANE KATIKA KUWAOMBEA WENZETU KUANZIA HIVI SASA IKIWA NDIO MUDA MELI ILIANZA SAFARI KUTOKA BUKOBA MJINI KUELEKEA KEMONDO BAY AMBAPO ILIENDELEA NA SAFARI KUELEKEA MWANZA AMBAPO ILIZAMA MUDA MCHACHE KABLA YA KUTIA NANGA JIJINI MWANZA.
Bukobawadau Blog tunaendelea kutoa pole kwa  wafiwa..tupo pamoja ..mwenyezi Mungu awapumzishe mahala pema peponi woote waliotangulia mbele ya haki.Amina!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau