Bukobawadau

SALAMU ZA HERI YA MEI MOSI ,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia kila la heri watanzania wote walio nyumbani na nje ,Heri na baraka, Amani,Mshikamano na Upendo katika  maadhimisho ya sherehe za siku kuu ya wafanyakazi MEI MOSI.
TUZIDISHE JUHUDI KAZINI ! KAZI NI KAZI

Next Post Previous Post
Bukobawadau