Bukobawadau

'WANASEMA ALHAMDULILLAH'!!NI SHUGHULI YA NIKAAH YA BW LALY ABDULGARD NA BI ZUENA..!!

NAAAM ni Ijumaa nyingine MAY 29,2015 Camera yetu inajikita pande za Kamachumu kushuhudia tukio la Nikaah katika shughuli ya Ndoa ya wawili hawa, ni shughuli inayo -Make headline katika ukanda huu ,maeneo ya ziwa Victoria na mikoa ya jirani ni kati Bwana Laly AbdulGard na Bi Zuena Murshid Sued  'Omwana Owahibanga'.
 Alhamdulillah nikaah ishafungwa Bwana harusi Laly AbulGard sasa ni halali wa Bi Harusi Zuena Murshid Sued (pichani kushoto)kinachofuata ni  kupata mtiririko wa matukio ya shughuli nzima na shamrashamra za hapa na pale kupita Site yako inayopendwa na wengi tukimaanisha Bukobawadau Blog
 Bwana harusi wetu katika bonge la tabasamu .
Burudani ya Qaswida.
Upande wa pili wanaonekana Wadogo zake na Bi harusi wetu Bi Zuena Murshed.
Sheikh anatoa nasaha zake kabla ya tukio la ndoa.
 Wanamama katika hali ya usikivu.
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa nasaha kwa wanandoa na waliyomo kwenye ndoa
Mama Mzazi wa Bwana Harusi, Mama Rubby anaguswa na  maneno ya Sheikh Haruna Kichwabuta
Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya picha na Sehemu ya Video...
TAYARI PICHA 100 ZINAPATIKANA KATIKA UKURASA WETU WAFEBOOK KUPITIA LINK HII>>BUKOBAWADAU MEDIA
Next Post Previous Post
Bukobawadau