Bukobawadau

WASHINDI WA "TUZO ZA WATU" 2015


Mwanamuziki wa kiume anaependwa:: ALI SALEHE KIBA.

Mwanamuziki wa Kike anaependwa::JAY DEE

Muigizaji wa kiume anaependwa::HEMED SULEIMAN

Muigizaji wa Kike anaependwa::WEMA SEPETU

Muongozaji wa Filamu anaependwa::VICENT KIGOSI 'RAY'

Director wa muziki anaependwa::HANSCANA

Mtangazaji wa runinga anaependwa::SALIM KIKEKE(BBC SWAHILI)

Mtangazaji wa Radio anaependwa::DJARO ARUNGU(TBC FM)

Kipindi cha radio kinachopendwa::PAPASO(TBC FM)

Tovuti/Blogu inayopendwa::MILLARDAYO.COM

TUZO HIZI HUTOLEWA KUTOKANA NA IDADI YA KURA ZINAZOPIGWA NA MASHABIKI.
Next Post Previous Post
Bukobawadau