Bukobawadau

KISHINDO CHA AJALI USIKU HUU BUKOBA !!

Ajali iliyotokea usiku huu muda mchache uliopita ,baada ya Gari aina ya Toyota Ipsum kuacha njia na kupinduka,Kama inavyo onekana pichani,Gari likiwa limepalamia vyuma vya uzio wa Daraja la Migera lililopo (kashozi road) maeneo ya 'Gereji ya Mlima'
Dreva aliyekuwa peke yake bila abiria amenusurika katika ajali hiyo!
Bukoba: July 21,2015
Next Post Previous Post
Bukobawadau