Bukobawadau

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU ROBART KYARUZI (MATWI) WA SOKO KUU MJINI BUKOBA.

Mjane na Watoto wa Marehemu wakiwa katika majonzi makubwa ya kuondokewa mpendwa wao,Kifo cha Marehemu Robart Kyaruzi Barwana kimetokea jana baada ya kusumbuliwa na shinikizo la damu,na shughuli ya mazishi yake imefanyika leo Alhamisi July 23,2015 nyumbani kwao kijijini Ngando-Kagera Sugar Wilayani Missenyi
 Picha ya Marehemu Robart Kyaruzi Barwana wakati wa Uhai wake.
 Paroko akiongoza ibada ya mazishi ya Marehemu Robart Kyaruzi Barwana
Vilio na Simanzi kubwa wakati Mjane wa Marehemu akitoa heshima zake za mwisho.
 Simanzi na majonzi vikitawala kwa waombolezaji wakati wa zoezi la kutoa heshima za mwisho

 Taswira mbalimbali waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi

 Mwakilishi wa Shule ya Wasichana ya Josiah Girls High School iliyopo Manispaa ya Bukoba,Mzee Rutabingwa akitoa salaam za rambirambi kufuatia kifo cha mzazi wa mwanafunzi Marehemu Robart Kyaruzi Barwana.
Baadhi ya waombolezi pichani Ndugu 'Tolo' na Ndugu Kabago Kyajuga.
Sehemu ya waliohudhuria shughuli ya mazishi ya Marehemu Robart Kyaruzi Barwana iliyofanyika jioni ya leo Alhamisi July 23,2015 nyumbani kwao kijijini Ngando-Kagera Sugar
 Rambirambi kutoka kwa walimu wa Shule ya wasichana ya Josiah Girls High School.
 Waombolezaji pichani anaonekana Ndugu Robart na Mdau Hussein Kaitaba.
Next Post Previous Post
Bukobawadau