MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA ALIPOKUWA AKIWASHUKURU NA KUWAAGA WAKAZI WA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO LEO
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.Mh Magufuli yuko jimboni kwake Wilayani Chato kuwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 akiwa Mbunge.
MKe wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji huo kwa mapokezi mazuri na makubwa waliyoyapata wilayani humo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara),Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimia
wanachama wa CCM pamoja na Wananchi waliofika kumlaki Dkt Magufuli jioni
ya leo katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza wilayani Chato mkoa wa Geita.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono pia na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge wao.
Baadhi ya
Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake
waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya
leo
wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.

wakimsikiliza Dkt Magufuli alipokuwa akiwasalimia na kuwashukuru katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya
leo.
Baadhi ya
Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake
waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya
leo
wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji
vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza
jioni ya leo
wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo
wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge wao.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge wao.
Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na
furaha ya kupitiliza mara baada kumuona Dkt
Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa
Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na
furaha ya kupitiliza mara baada kupewa ruhusa ya kusalimiana na Dkt
Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa
Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
Mmoja
wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na
furaha ya kupitiliza mara baada kupewa ruhusa ya kusalimiana na Dkt
Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa
Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
Baadhi
ya Wananchi wakiwa wameziba barabara wakitaka kumuona na kumsalimia Dkt
Magufuli ikiwemo pia kumpongeza kwa kuteuliwa kuipeperusha bendera ya
CCM katika kuwania Uraisi kupitia chama hicho
Wafuasi wa CCM wakishangilia mara baada ya kumuona Dkt
Magufuli alipokuwa akipita kuwasalimia wananchi akielekea Mji mdogo wa
Muganza,wilayani Chato jioni ya leo
Mmoja
wa Wafuasi wa CCM akishangilia mara baada ya kumuona Dkt Magufuli
alipokuwa akipita kuwasalimia wananchi akielekea Mji mdogo wa
Muganza,wilayani Chato jioni ya leo.