SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

19 July 2015

MHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA,KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA,DODOMA

 Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania,Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa Wilaya hiyo CCM,Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa.
(Picha na Ramadhan Hassan)
Mhariri Msanifu wa gazeti la mtanzania Khamis Mkotya akionesha fomu alizokadhiwa jana katika ofisi za chama hicho Wilayani Kondoa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge katika Jimbo la Chemba. (Picha na John Banda)

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU