SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

31 July 2015

MATOKEO KURA ZA MAONI UDIWANI UKAWA BUKOBA MJINI

 Uchaguzi kura za maoni kata Hamugembe Chadema,Ndg Muhaji Kachwamba pichani  ameweza kuibuka kidedea kwa kura 27 dhidi ya kura 3 za mpinzani wake Mr. Masoud
#‎SiasazaBukoba‬
Matokeo ya kura za maoni Udiwani kata Kashai UKAWA
Nuru Kabaju kura 45.
Victor Herman 42

#‎SiasazaBukoba‬
Matokeo ya kura za maoni Udiwani kata Rwamishenye Chadema .
Kura zilizopigwa ni 17 matokeo ni kama ifuatavyo;
1. Mama Felciana Mulaki kura 9
2.Ndugu Justuce kura 8
3.Ndugu Biseko 0
4.Ndugu Adolph Kamgisha 0

1 comment:

Anonymous said...

AHSANTE MC KWA KUTUABARISHA! UBARIKIWA NA BW.

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU