Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, Ernest Chale kushoto akimkabidhi fomu Mlangira Ben Kataruga.
Mlangira Ben Kataruga
aliyekuwa anashawishiwa na wakazi wa Jimbo la Segerea kugombea ubunge
wa jimbo hilo,Siku ya jana Ijumaa 17 Julai 2015 alifika ofisi ya CCM
wilaya ya ILALA na kukabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge kupitia ticketi
ya CCM.
#UmojaNiUshindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment