Bukobawadau

YASEMEKANA MADIWANI 18 CCM MONDULI WAHAMIA CHADEMA

SINTOFAHAMU ARUSHA;Madiwani kumi na nane wa CCM wenyeviti sita wa vijiji na viongozi sita kutoka jumuiya za CCM na idadi kubwa ya wanachama katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha wamekihama chama hicho na kuhamia Chadema kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa CCM hali iliyo zuwa sintofahamu kubwa katika mitaa ya wilaya ya Monduli.
TAARIFA YA STAR TV HIVI PUNDE INASEMA ;Madiwani waliohama rasmi ni 6 wengine walishiriki kutoa tamko tu!
BUKOBAWADAU MEDIA :tunandelea kufuatilia ili kupata uwakika
Next Post Previous Post
Bukobawadau