SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

04 July 2015

MOLA MUWEKEE WEPESI 'BANZASTONE' APATE KUPONA

".....Ningependa kujua baada ya kifo changu mimi Banza Stone watu watasema nini haapa duniani x 2
Basi namuomba Mungu anifanyie kama Yesu Masia alivyokufa baada ya siku tatu akafufuka lakini kwangu Banzastone mimi nasema haiwezekani ee,
basi namuomba Mungu japo kwa sekunde moja ayafungue macho yangu na masikio yangu ili nipate kusikia watu watasema nini hapa duniani.

Wengine utawasikia Banza anaimba sana, utawasikia oo Banza ni mzuri sana,
utawasikia oo Banza anasauti nzuri, utawasikia oo Banza anatunga sana. Na wambea watachonga teeja hilo linavuta ngoma...."

Kipande cha Banza katika nyimbo aliyoitunga yeye mwenyewe ya "Hujafa Hujasifiwa" akiwa na Twanga Chipolopolo.
Ee mola mfanyie wepesi apone haraka Ramadhani Ally Masanja almaarufu Banzastone.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU