Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya
Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya wakati wa
kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga
, wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na
Benki ya Dunia kupitia UNICEF
Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli (wa kwanza kushoto) akiwaangalia baadhi ya mbuzi
wa vikundi vya kata ya Masanga waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu
kupitia Mradi wa kupunguza Athari za
Maafa ya Ukame wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo
unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Kulia kwake ni Mkurugenzi Idara
ya Uratibu Maafa Ofisi hiyo, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya.
Baadhi ya wanakikundi
cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu
Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu
kupitia Mradi wa kupunguza Athari za
Maafa ya Ukame tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia
kupitia UNICEF.
Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli (wa kwanza kushoto) akimsikiliza
mwanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga wakati akieleza manufaa ya ufugaji
wa mbuzi waliowapata kutoka Idara ya
Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia
Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame wilayani Kishapu Shinyanga,
tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF.
Kulia kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi hiyo, Brigedia Jenerali,
Mbazi Msuya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment