Bukobawadau

UJUMBE WA LEO KATIKA MAHUSIANO

BORA NIKWAMBIE
Kumpekenyua pekenyua mumeo, kumbana kila upenyo, kumnusanusa harufu na kumkagua shati kama lina lipsticks, kumendea simu zake kwa kila hila na viji mbinu vyovyote utakavyovitumia, kamwe haviyokusaidia kumbadilisha tabia zake mbaya sanasana utampa ujuzi wa mbinu mpya, na hata akiamua kutofanya hayo kwa sababu ya jitihada zako, badiliko hilo sio halisi na litokalo ndani bali lililo lazimishwa na mazingira, no love. Ushauri wangu kwenu, kujiheshimu kuwe tabia ya ndani na sio ya kulazimishwa, wao walisema, kama kweli unampenda utamlinda, mimi nasema kama kweli unakupenda utakuheshimu na kama unakuheshimu utakupenda, tumeitiwa mapenzi sio mafunzo ya upolisi
Next Post Previous Post
Bukobawadau