Bukobawadau

JERRY SILAA NITAGOMBEA JIMBO LA UKONGA

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bw. Jerry Silaa kupitia akaunti yake ya Instagram amesema;'Kesho ndio siku ya mwisho kwa Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilala. Tunaahirisha vikao mpaka baada ya Uchaguzi.'
Kwa kuwa sigombei tena Udiwani sintaweza gombea umeya,Hii ndio sikuyangu ya mwisho kufanya kazi za umeya,Namshukuru sana Mungu nimemaliza salama.
Naamini atayechaguliwa atafanya kazi kwa moyo wake wote kuwahudumia wananchi.
Mungu akipenda nitakuwa mjumbe wa Baraza kwa kiti cha Ubunge wa Ukonga....
Next Post Previous Post
Bukobawadau