Bukobawadau

NI MAGUFULI CCM 2015

Matokeo halisi ya kura za wagombea kuto Mkutano Mkuu ni: Mh. John Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10%, Dk.Asha Migiro 3%
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Magufuli
 Watoto wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria mkutano huo.
 Dr. Emmanuel Nchimbi
Pongezi nyingi kwa Mhe John Pombe Magufuli kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais wa CCM. Nilipigania sana CCM ipate mgombea anaeuzika ili ishinde uchaguzi. John Magufuli ANAUZIKA NA ANACHAGULIKA Nawasihi wana CCM wote wasahau tofauti zao waungane kutafuta ushindi. Sina mashaka mhe Magufuli ataleta mchakamchaka mkubwa wa maendeleo.
 NI NINI  MAONI YAKO KUFIKIA HAPOPE 
1.Je CCM imerudisha umaarufu uliokua unautakaa
2.Je kufikia hapa goli la mkono linatakiwa au game liko fear?
 UTEUZI WA MAGUFULI NA MAONI YA WADAU
MAHAMUZI MAGUMU
Bila kuathiri maana ya neno tajwa; baada ya kufanya utafiti binafsi kwa muda usio pungua miaka nane juu ya uimara, mifumo na utaratibu wa uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, Mimi Jackson Ndyamukama Rwebangira kupitia akaunti yangu hii ya facebook, natangaza rasimi kuanzia hivi sasa na wakati ujao, najiunga moja kwa moja na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ieleweke wazi kwamba, mimi Jackson Rwebangira sijawai kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini zaidi ya kuwa shabiki wa siasa za vyama pinzani nchini. Kwa maana hiyo basi ieleweke kwamba sijawai kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote hadi hapo nitakapo kabidhiwa kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mara tu nitakapo rudi nchini.
BASI IWE KAMA ITAKAVYO KUWA SASA: arakati nilizo nazo kuanzia hivi sasa ni kukamilisha taratibu zote za kujiunga na chama na kuanza kukitumikia chama kwa kufata misingi na miongozo ya katiba yake.
Mungu ibariki Tanzani na Mungu ibariki CCM!
Jackson Rwebangira
(Mwanachama wa CCM mtarajiwa)
Edo Kumwembe
Next Post Previous Post
Bukobawadau