Bukobawadau

DODOMA LEO JUMAMOSI JULY 11,2015

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii juu ya kilichofanyika kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, ambapo amesema kuwa sasa NEC inapiga kura kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika Usiku wa leo majira ya saa tatu, kwenye Ukumbi wa Dodoma Convetion Centre.Credit:@michuzi Jr
 UPDATES:Ndg. Nape Nnauye amtangaza rasmi Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM 2015, Mhe. Ali Mohamed Shein.
 Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni…1.Joohn Magufuli,Amina S. Ali,Asha-Rose Migiro.
 "Sigombei nafasi hii kupambana na mtu bali kupambana na matatizo ya watu". @JMakamba #UmojaNiUshindi #TanzaniaMpya

 KWA MTIRIRIKO HUU 'KURA YA 3' BORA NINI MTAZAMO WAKO
Magufuli 290, Amina 284, AshaRose 280, January 124, Membe 120
Next Post Previous Post
Bukobawadau