Bukobawadau

DUKA JIPYA LA KISASA 'MAMA PAVIN SHOPPING CENTER' WALIOPO JENGO LA BUGABO HOUSE

 Karibu Mama Pavin Shopping Center duka jipya na la kisasa la vipodozi na bidhaa mbalimbali  lililo funguliwa rasmi hivi karibuni ,Duka hili lipo Jengo la Bugabo House makutano ya  barabara ya Arusha na Kashozi ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Mama Pavin Shopping Center kwa  mahitaji yako ya  bidhaa bora za Urembo,nguo za watoto Perfume, Viatu vya kike na kiume na hand bag za kila aina kwendana na wakati (watch,hand bag,backpack,hoodies,shoes,sandals,mules,slippers)
Hapa ndio chaguo sahihi kwa kila aina ya pafyum zenye hunakshiwa na harufu nzuri ya marashi.!!
SAA AINA MBALIMBALI:Hapa vya mkononi vinahusika!Muhimu kujua kuwa Saa si tu kwa ajili ya kujua muda unavyokwenda bali pia inaweza kutumika kama urembo, Kubwa zaidi Saa inahitaji umakini katika kuchagua kwani pia huweza kumuelezea mtu kwa namna fulani, Jipatie Saa kali ndani ya Mama Pavin Shopping Center  upate kufahamika Wewe ni ni nani, ni vipi na wakiasi gani!!
Ndani ya Mama Pavin Shopping Center kuna kila bidhaa kwa ajili ya mwili,bidhaa zenye harufu nzuri na zinaweza kutumika sehemu zote za mwili ata usoni na kulainisha ngozi yako.
Mdau fanya yako sasa,fika  Mama Pavin Shopping Center,duka limesheheni kila kitu kulingana na mahitaji yako
Onekana nadhifu na Mashati ya Kisasa Design na Rangi tofauti tofauti,yote juu ya yote utapata Mikanda ya Ngozi (Pure Leather) kwa size tofauti.
 Hakika Jamaa wamejipanga vyema kwenda na hali ya kisasa kabisa
Sabuni za kila aina kwa ajili ya Usafi wa ndani na  usafi wa mwili tembelea Mama Pavin Shopping Center wako Jengo la Bugabo House makutano ya  barabara ya Arusha na Kashozi ndani ya Manispaa ya Bukoba.
 Muonekano wa baadhi ya Pafym pichani
Muonekano wa bidhaa mbalimbali ndani ya Duka.
Hapa unakutana vitu mbalimbali kwa ajili ya kuchezea watoto kuna Baiskeli,wanasesere, magari ya plastiki na kadhalika, Watu wote mnakaribishwa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau