Bukobawadau

MATUKIO YA PICHA KUTOKA VIWANJA VYA JANGWANI :Uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais CHADEMA/UKAWA

''Viwanja vya kufanyia kampeni tunanyimwa, mazikoni kwenda napo tunakatazwa. Hatuna haki kabisa'' Haji Duni #Jangwani #Urais2015
 Lowassa: Hata wakiiba kura wataiba nyingi lakini bado zitabaki za kutufanya kushinda #UkawaJangwani #Urais2015

 Lowassa: Jambo la kwanza katika Ilani, kipaumbele cha kwanza elimu, cha pili elimu, cha tatu elimu ‪#‎UkawaJangwani‬ ‪#‎Uchaguzi2015‬
 "Madawa ya kulevya yanapopita pale Airport na hayakukamatwa yakakamatwa South Africa Lowassa alikuwapo?"- Sumaye ‪#‎Jangwani‬ ‪#‎Urais2015‬
 ''Wapo watu waliofungwa na minyororo ndani ya CCM, na hawajui hatma yao hadi sasa wanaburuzwa tu'' Mbowe ‪#‎Jangwani‬ ‪#‎Urais2015‬
Next Post Previous Post
Bukobawadau