Bukobawadau

#SiasazaBukoba;CCM yafanikiwa Pingamizi dhidi ya Mgombea Udiwani wa UKAWA kata KASHAI

#‎SIASAZABUKOBA‬
Taarifa Rasmi Mgombea wa Udiwani kupitia Ukawa kata Kashai Ndugu Nuru Kabaju ameondolewa katika KINYANG'ANYIRO hicho kufuatia pingamizi alilowekewa kuhusiana na makosa ya ujazaji wa fomu
 Exclusive #siasazaBukoba Mgombea Udiwani Kata Kagondo aondolewa Rasmi
Next Post Previous Post
Bukobawadau