Bukobawadau

MAELFU WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE JOSEPH MSHUMBUSI

 Shughuli ya Mazishi ya Mzee Joseph Mshumbusi iliyofanyika siku ya Ijumaa Sep 11,Nyumbani kijijini Kanazi-Bukoba na kuhudhuriwa na maelfu ya watu wakiongozwa na Viongozi wakuu wa Serikali Vyama vya kisiasa na Dini
 Mwili wa Marehemu mzee Joseph Mshmbusi ukiombewa kabla ya kutolewa ndani kwa ajili ya Ibada ya mazishi.
Jumla ya Mapadri 120 na Maaskofu watatu wameshiriki Mazishi ya mpendwa wetu Marehemu Mzee Joseph MshumbusiKwa hesabu ya haraka watawa wa kike wapatao 90 wameshiriki ipasavyo mazishi hayo.
Baba Askofu Methodius Kilaini akitoa historia fupi ya Marehemu Mzee Joseph Mshumbusi


Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambaye aliongozana na Viongozi wote wa juu ngazi ya Mkoa na Wilaya Mh.John Mongella akitoa salaam za pole na rambirambi

Ni uzuni na majonzi makubwa kwa waombolezaji
Next Post Previous Post
Bukobawadau