Bukobawadau

NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA BUKOBA

 Nyumba yenye vyumba vitatu vyote Self Contained inapangishwa Maeneo ya Kashura-Bukoba ina  sebule/Sitting room, dinning ,jiko na sehemu ya stoo.
 Nyumba ipo barabarani kabisa  jirani na Kolping zamani Walkgard Hotels imeangalia usawa wa ziwa na kukufanya upata view ya Ziwa Victoria kwa utulivu na raha .

Muonekano wa nyumba kwa mbele.
Muonekano wa Sebule/Sitting room.
 Ukiwa ndani ya nyumba unapata View na mandhari safi ya Ziwa Victoria
 Usawa wa Sebule, kushoto unaelekea katika  Chumba kimoja wapo kinachojitosheleza
Bafuni pametulia kama inavyojionyesha katika picha
Cm chache kutoka barabarani nyumba ina kila sifa amoja na eneo kubwa la wazi. 
Muonekano wa ndani kuelekea  dinning , jikoni  na sehemu ya stoo.
Naaam !!Nyumba hii ipo Kashura jirani na Kolping ni mita chache na barabara ya lami na bei yake ni nafuu sana
KWA MAELEZO ZAIDI  WASILIANA NASI AU PIGA
Next Post Previous Post
Bukobawadau