Bukobawadau

TANZIA: WAZIRI CELINA KOMBANI ATUNAE TENA

Celina Kombani 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani amefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa zinasema kuwa Waziri Kombani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi, mwili wake utawasili nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu
 Bunge la 10 limepoteza wabunge wafuatao:
1. Celina Kombani
2. Clara Mwatuka
3. Donald Max
4. Eugen Mwaiposa
5. John Komba
6. Jeremiah Sumari
7. Regia Mtema
8. Salim Hemedi Khamis
9. William Mgimwa
10. Saidi Bwanamdogo
Mwenyezi Mungu azihifadhi roho za marehemu. Bwana ametoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.
Next Post Previous Post
Bukobawadau