Bukobawadau

BALOZI MWAPACHU ATANGAZA KUJITOA CCM

Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kuanzia kesho tarehe 14-10-2015 hatokuwa tena mwanachama wa CCM na atarejesha kadi hiyo rasmi ofisi ya CCM ya kata ya Mikocheni jijini Dar es Salaam na kasema ajaamua kujiunga na chama chochote.
Next Post Previous Post
Bukobawadau