Bukobawadau

MAMA SAMIA SULUM AMNADI BALOZI KAMALA KIJIJINI BWANJAI - MISSENYI LEO

  Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan amendelea na Ziara ya Kampeni Mkoani Kagera,ambapo Asubuhi ya leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Bwanjai Wilayani Missenyi na kumnadi kwa nguvu Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala na kuhaidi kutekeleza kero na matatizo mbalimbali yanao wakabili wananachi wa Jimbo la Nkenge
 Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais wa Tanzania kupitia CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala
Mikono ya wananchi wakimshangilia Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan
Mama Samia akiwahutubia wananchi na wanaCCM wa Kata ya Bwanjai Jimbo la  Nkenge katika mkutano wa hadhara uliofanyika asubuhi ya leo Jumanne Oct 10,2015.
Baadhi ya Wagombea nafasi ya Udiwani kata Jimboni Missenyi
Mama Samia akimnadi mgombea Udiwani mwenyeji wa eneo hili kata ya Bwanjai Bw. Dickson
Baadhi ya Wagombea nafasi ya Udiwani Jimbo la Nkenge
Mgombea Udiwani wa kata Ishozi Bwana William Rutta akisalimiana na Mama Samia Suluhu Hassan, Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM),
 Bi Edna Edmund mwanachama wa CCM akiwa katika mkutano wa hadhara wa Mgombea mwenza wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan
 MwanaCCM akiwa katika mkutano huo
 Mgombea ubunge Jimbo Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala katika picha na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera, Costansia Buhiye
 Muonekano wa Umati wa watu katika mkutano wa Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan
 Sehemu ya Wagombea Udiwani kupitia CCM jimbo la Nkenge
 Wanahabari kazini
Baadhi ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Bwanjai Jimbo la  Nkenge wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan
 Bwana  Samuel Lugemalila, Kampeni meneja wa Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akibadilishana mawazo na WanaCCM wenzake
 Vijana wakimsikiliza Mama Samia
 Mgombea Udiwaka Kata Ishunju Bwana Msafiri pichani
 WanaCCM wakiwa katika mkutano huo
  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. John Mongella .
 Makada ya chama cha mapinduzi wakiendelea kubadilishana mawazo
 Wafuasi wa Bwana Dickson aka Obama wakiwa Wamembeba Mgombea wao
Wananchi wa Kata ya Bwanjai  wakishangilia kwa kumbeba juu juu Mgombea Udiwani wa kata hiyo Bwana Dickson aka Obama mara baada ya  Mkutano wa Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais wa Tanzania kupitia CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
Next Post Previous Post
Bukobawadau