Bukobawadau

MZEE MAKAIDI AFARIKI DUNIA

MAKAIDI AFARIKI: M'kiti Mwenza Ukawa, na Mwenyekiti wa chama cha NLD ,Emmanuel Makaidi afariki leo katika hospitali ya Nyangao, Lindi kwa shinikizo la damu, mkewe Modesta Makaidi athibitisha.
Apumzike kwa Amani milele Ameen..!
Next Post Previous Post
Bukobawadau