SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

04 October 2015

R.I.P MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

 Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa za Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU