MANDHARI YA MJI WA BUKOBA LEO NOV 10,2015
Kama inavyo onekana pichani,Sehemu ya Mandhari ya mji wa Bukoba,muonekano wa Jengo jipya la Uwanja wa Ndege
Mji wa Bukoba ukitambulishwa na mnara wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba
Usawa wa Ziwa Victoria
Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba.
Usawa wa Kisiwa Cha Musila.
Taswira ya mji wa Bukoba mapema ya leo.
Mjini Bukoba LEO hekaheka za hapa na pale zikiendelea
Kijana Kelvin Odella akipata Mulo maeneo ya Bukoba Club.
Mashasha/Magori aina ya matundo
Al hajj Makanda Bwikizo pichani
Mlangira Ben Kataruga Muungwana asiye na makuu
Kushoto ni Mpambanaji Bushira na Mlangira Ben Kataruga kama anavyo onekana pichani kulia.
Anaonekana Dk.Venus Kataruga akiwa katika mazungumzo na wanafunzi wapita njia.
Dk. Venus Kataruga akishow love mbele ya Camera yetu mapema ya leo
Eneo la maegesho ya Magari Bukoba Airport
Mdau pichani akicheck na Camera yetu
Kila kona ya mtaa habari ni Bukobawadau
Mzee Washokela na Ndugu Rama wadau wa Soka Mjini hapa.
Sehemu ya Wadau pichani wakifurahia Jumanne tulivu viwanja vya Bukoba Club hii leo
Kijana Soma na Mtaalam Alex sehemu ya wadau wa mtandao wetu
Muonekano wa Uwanja mpya wa nyasi bandia Kaitaba
Ndani ya Uwanja wa Kaitaba Mdau Mwinyi akifuatilia hali ya Uwanja
Wadau pichani wakifuatilia zoezi la utengenezaji wa Uwanja wa Kaitaba jioni ya leo Nov 10,2015

Mjini Bukoba Mitaa ya Uswahilini Bilele, unaonekana Uwanja wa Mayunga na sehemu ya majengo
Nyasi bandia zinazoendelea kutumika katika Uwanja wa Kaitaba Mjini hapaMuonekano wa Uwanja mpya wa nyasi bandia Kaitaba