SEND OFF PARTY YA OLVIA KAIZA YAFANA KATIKA UKUMBI WA BUKOBA CLUB
"Mungu ni mwema '!!hayo ni maneno yake Bibi Harusi Mtarajiwa Olvia Kaiza kama anavyo onekana pichani akiwa katika nyuso ya Furaha na kumshukuru Mungu
Bi harusi mtarajiwa Olivia Kaiza katika picha maalumu ya kumbukumbu
Mtarajiwa katika picha ya pamoja na wapambe wake.
Pichani kulia ni Mama mzazi wa Mtarajiwa 'Mama Stella'
Ndivyo wanavyo ingia Ukumbini Wazazi wa Bi harusi Mtarajiwa
Wageni kutoka upande wa Bwana harusi mtarajiwa wakiingia ukumbini
Vijana wa burudani wakiingia ukumbini kwa Wimbo wa msanii Teknomiles - Duro wa Nigeria.
Anaitwa Bibie Annastellah mpambe wa Bi harusi mtarajiwa akijimwaya ukumbini
Ndivyo anavyo ingia ukumbini Mzee Mshenga wa shughuli hii
Akiingia katika ukumbi Biharusi mtarajiwa Bi Olvia Kaiza wakati wa sherehe ya kumuaga 'Send off party' kulia ni mpambe wake Bibie Annastellah
Mama Stella , mama mzazi wa Mtarajiwa Bi Olivia Kaiza wakati wa utambulisho
Zoezi la Utambulisho upande wa Mtarajiwa Olvia Kaiza likiendelea
Endelea kufuatilia mtiriko mzima wa Matukio yaliyojiri wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Biharusi mtarajiwa Bi Olvia Kaiza, hayupo pichani
Pale mtarajiwa anapomfichua mwenzake...nae si mwingine ni Capt Gosbert Karumuna
Naaam 'Ebintu Majuta'!
Bwana Alanus Kashalaba pichani kushoto ndiye mpambe wa Bwana Harusi mtarajiwa.
Taswira mbalimbali ukumbini
Mtarajiwa wetu anampata Mme mtarajiwa na kumvisha saa ya mkononi yenye thamani kubwa..!!!
Bibie Olvia Kaiza akikata keki Kwenye Sendoff yake iliyofanyika juma lililopita katika ukumbi wa Bukoba Club.
Yote haya ni kupitia Bukobawadau Blog moja kwa moja kutoka katika Ukumbi wa Bukoba Club.
Bi Harusi mtarajiwa Olvia Kaiza (Kushoto)akilishwa Keki na matroni wake
Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi akipokea zawadi ya Keki
Sehemu ya wanakati mara baada ya kupokea zawadi ya Keki.
Kaka wa Mtarajiwa Bw. Fidelis Kaiza akimkabidhi Mdogo wake hati za Viwanja kama zawadi ya familia,Viwanja hivyo kimoja kipo Dar na kingine kipo Mjini Bukoba
Bwana harusi mtarajiwa Capt.Gosbert Karumuna pichani kushoto akifurahia jambo mbele ya wazazi wa Upande wa pili.
Maswala ya burudani yakichukua kasi ukumbini.
Wanakamati katika kama kawaida ..ni mwendo wa 'Kadansee'
Muendelezo wa matukio mbalimbali katika picha.
Bi harusi mtarajiwa akitoa zawadi kwa Mama yake mzazi
Mwanzo wa shughuli iliyochukua masaa na kubaki midomoni mwa watu wengi waliohudhuria Sherehe hii ni 'Tukio la zawadi kutoka kwaMama mzazi'
Mama akiendelea kutoa zawadi kwa mwanae.
BUKOBAWADAU BOG tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Ni muda wa kupata msosi.
Utaratibu wa kupata Msosi ukiendelea...
Matukio mbalimbali ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
MATUKIO YA PICHA ZAIDI YANAPATIKANA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOOK JIUNGE NASI KUPITIA LINK HII USIKU WA BI OLVIA KAIZA