Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU DEC 8,2015

Camera yetu ndani ya New Coffee Tree Hotel Usiku ya jana Dec 8,2015 ,hoteli inayopendwa na watu wengi kutokana na huduma inayopatikana hapo,pichani tunakutana na wadau wakipata mbili tatu.
 Pia wanapatika Vijana wengi maarufu wanaopenda kucheza pool mara baada ya muda shughuli zao
 Mchezo wa pool ukiendelea 

Next Post Previous Post
Bukobawadau