Bukobawadau

MAELFU YA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA BI ZAITUNI K.KABYEMELA KIJIJINI MARUKU


 Maelfu ya waombolezaji washiriki mazishi ya Bi Zaituni K. Kabyemela (Mama Rahym Kabyemela) yaliyofanyika siku ya jana Ijumaa ,Jan 8, 2016 Nyumbani kijijini Maruku .
Mwenyezi Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu.
Mc Mwongozaji wa Shughuli ya maziko haya Ustaadh Yunus Kabyemela akitolea jambo ufafanuzi
Salaam za rambirambi kutoka kwa Fr.James Rugemalira Mkurugenzi wa VIP Engineering & Marketing Ltd
Umati wa waombolezaji wakimsikiliza Fr James Rugemalira Mkurugenzi wa VIP Engineering & Marketing Ltd.
Fr James Rugemalira akiendelea kueleza namna alivyogushwa na Msiba huu wa Mama Rahym Kabyemela,Bwana Rahym yeye ni member wa timu ya VIP engineering and Marketing (VIP)
Baadhi ya waombolezaji pichani ni pamoja na wanachama wa Pamoja Group Chama mahiri na makini Chenye mshikamano  Imara.
 Wanapamoja Chama lenye mshikamo kweli kweli
 Majonzi na vilio vikiendelea kwa watoto wa Marehemu Bi Zaituni K. Kabyemela pichani
Sehemu ya waombolezaji wakiendelea kushiriki shughuli ya maziko hayo,iliyotanguliwa na kisomo cha hitima.
Al Amin Abdul na Bwana Kabaka pichani katika kumfariji Ndg Rahym Kabyemela (pichani katikati)
Sheikh Muftah kutoka Jijini Dar es Salaam akitoa salaam za rambirambi kwa niaba ya ndugu wa Marehemu.

 Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta akitambua uwepo wa Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera
Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa nasaha zake.
Marafiki na wanafamilia ya Marehemu Comrade Mzee Ruangisa pichani
 Meya wa Manispaa ya Bukoba Mh. Chief Kalumuna akitoa salaam za rambirambi kwa niaba yake na kwa niaba ya Mbunge wa Bukoba Mjini Mh.Lwakatare
Neno kutoka kwa Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera
Kulia ni Bwana Subira Seleman Kabyemela.

 Matukio ya Video utayapata hivi punde.
Mlangira Ben Kataruga pichani katikati akiwafariji wafiwa.
Mkubwa Alex Mtiganzi kutoka Jijijni Dar Es Salaam akiwa amefika kushiriki mashizi ya Mpendwa Bi Zaituni K. Kabyemela (Mama Rahym Kabyemela)
Mdau Ruga Baruti akiteta na Bw. Cathbert Basibila (Ta 'Basibila) pichani kulia
Mkuu akiwa na Bwana Hamim Mahamood.
Bi Jamila Kemilembe mmoja wa waombolezaji
Bwana Hamza Ngemera na Bw. Hassan nao wanafika kushiriki na jamaa wengine kutoka maeneo mbalimbali katika maziko hayo


 Mzee Masabala pichani kushoto na Ndugu Jumanne Bingwa.
Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kubadilishana mawazo
Waumini wa Dini ya Kislamu wakiusalia Mwili wa Marehemu Bi Zaituni K. Kabyemera
 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Bi Zaituni K.Kabyemela likiwa limebebwa kelekea eneo la makaburi
 Ndugu yetu Rahym Kabyemela mara baada ya Kumstiri mama yake kama inavyo agizwa katika kitabu cha  (Qur'an) رضي الله عنها
Shughuli ya mazishi ikiendelea.
Zoezi la kuweka Udingo kaburini likiendelea kwa watu wote.
 Matukio yote haya kwa kina unayapata kupitia Bukobawadau Blog Media
 Zoezi la kuweka Udongu kwenye kaburi likiendelea
 Haji Abba  Sued akimfariji Kijana wake ,rafiki yake Bw. Rahym Kabyemela
 Mr. Frank ambaye ni mtoto mkubwa wa Marehemu Bi Zaituni K. Kabyemela
 Mmoja wa watoto wa Marehemu wakati wa Utambulisho

Pichani kushoto ni Haji Adam Sued, katikati ni Ustaadh Aziz Remdin
 Marafiki wa familia ya Mzee Kabyemela wakiwa katika hali ya taharuki kufuatia msiba huu.
 Umati mkubwa wa watu ukiwa eneo la makaburi wakati maziko yanaendelea.
 Taswira mbalimbali kutoka Msibani hapa, Kijijini Maruku Bukoba
Muendelezo wa Matukio ya picha.
Huzuni kubwa kwa watoto wa Marehemu pichani Rahym na Frank
 Mdau Optay Henry akiwa tayari kutoa neno kwa niaba ya wanapamoja
 Mzee Selemani Kabyemela akitoa neno la Shukrani kwa niaba ya familia
 Kushoto ni Alhaj Abdulmalick Mussa Kabyemela, mme wa marehemu Bi Zaituni K. Kabyemela
 Matukio mengine ya picha yanapatikana katika ukurasa wetu wa facebook
 Yupo Ndugu Taimuri pichani mwenye tabasamu
 Matukio ya picha yakiendelea, shughuli ya mazishi ya Bi Zaituni Kabyemela
BUKOBAWADAU Media tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
 Marehemu ameacha watoto 7 wa kuwazaa wakiume watano na wakike Wawili, pichani ni baaadhi ya watoto hao wakati wa Utambulisho
 Makundi mbalimbali ya waombolezaji
 Wakati Mlangira Kataruga akiendelea kuwapa mkono wa pole wafiwa
 Bukobawadau Media tunatoa pole kwa ndugu na jamaa wote wa familia ya Mzee wetu pichani Alhaj Abdulmalick Mussa Kabyemela
 Barutu's La familia pichani
Hivi ndivyo Ilivyokuwa s Safari ya Mwisho ya Marehemu ya Mpendwa wetu Marehemu Bi Zaituni K.Kabyemela  ,tunamuomba Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema aipokee na kuilaza  mahala pema "INNALILAHI WA INNA ILAYHI RAJIOON".
Matukio kupitia Video yatakufikia hivi punde na kwa matukio ya picha zaidi ya 200 jiunge nasi katika ukurasa wetu wa facebook kupitia link hii>>>



Next Post Previous Post
Bukobawadau