Bukobawadau

MAMIA YA WATU WASHIRIKI MAZISHI YA BI LIDIA MUKARWIKANISA LEONARD WA KIBETA BUKOBA

 Picha ya Marehemu Bibi Lidia Mukarwikanisa enzi za uhai wake
 Ibada ya Mazishi ya marehemu Bi.Lidia Mukarwikanisa Leonard ikiendelea Nyumbani kwake Kibeta -Bukoba Mjini
Umati wa watu  wakiendelea na Ibada ya mazishi ya Bi Lidia Mukarwikanisa 


Ndugu Yahya Kajuna pichani kulia akishiriki mazishi hayo
Mazishi ya marehemu Bi.Lidia Mukarwikanisa Leonard yaliyofanyika jioni ya Jana katika eneo la makaburi ya Nyumbani kwake Kibeta -Bukoba Mjini
 Bw.Johansen Mutegeki Baltazal ambaye ndiye mtoto mkubwa wa Marehemu Bi Lidia M.Leonard akiweka udongo kwenye kaburi la mama yake mpendwa.
 Pichani anaonekana Bwana Johaness mara baada ya kuweka Udongo kaburini
 Ndugu Essau Muganyizi Baltazal, mtoto wa marehemu Bi Lidia akiweka Udongo
Bi Hapi Essau akiweka Udongo kwenye kaburi la Bibi yake mpendwa,Bi Lidia Mukarwikanisa
 Zoezi la kuweka Udongo likiendelea
Mkurugenzi wa Vision Fm Radio Bwana Valerian Rugalabamu pichani kushoto.
 Baadhi ya waombolezaji pichaniViongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bukoba Mjini wakiweka shada la mauaMzee Essau Muganyizi Baltazal na mke wake wakiweka shada la maua

 Mara baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la mama yao mpendwa
 Baadhi ya wanafamilia wakiendelea na Utaratibu wa kuweka mashada ya maua
MATUKIO YANAENDELEA SOOON...

Next Post Previous Post
Bukobawadau