Bukobawadau

MSAFARA WA MWILI WA OMWANA MARIA EDWARD MBONEKO KUELEKEA KIJIJINI GERA

 Muonekano Msafara wa Msiba wa Marehemu Omwana Maria Edward Mboneko (shangazi wa Mlangira Kataruga ) ulioanza Safari kutoka Rwamishenye kuelekea Kijijini Gera Bukoba.
Shughuli ya mazishi kufanyika leo Jumatatu Jan 11,2015 Kijiji Gera - Nyalulembo Saa 9 Mchana.


BUKOBAWADAU MEDIA tunatoa pole zetu za dhati kwa familia ya Mlangira Mboneko,tunamuomba mwenyezi Mungu aipokee roho ya marehemu ampumzishe mahala pema peponi Amen !!
Next Post Previous Post
Bukobawadau