Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA BI ZAITUNI K. KABYEMELA

Familia ya Mzee Kabyemela wa Maruku Bukoba inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Bi Zaituni K. Kabyemela (Mama Rahym Kabyemela)kilichotokea siku ya jumanne katika Hospitali ya mkoa.“Mazishi yatafanyika kesho saa 8:00 mchana ( baada ya Sala ya Ijumaa )nyumbani Kijijini Maruku.
Mwenyezi Mungu aipokee roho yake apumzike kwa amani "INNALILAHI WA INNA ILAYHI RAJIOON".
Next Post Previous Post
Bukobawadau