Bukobawadau

Washindi wa Droo ya Kwanza ya Shinda Nyumba Wapatikana

LINA MBAZI AKIPEWA ZAWADIMshiriki wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba, Lina Mbazi akipokea zawadi ya fulanaMWAKILISHI WA TING ANITA CHAWE (1)MWAKILISHI WA TING ANITA CHAWE (2) Mwakilishi kutoka Kampuni inayosambaza ving'amuzi vya TING, Anitha Chawe akitoa maelezo kuhusu king'amuzi hicho.IMG_3297Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia mwenye kofia) na Msimamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Bakari Maggid (kushoto) wakifuatilia kwa makini droo hiyo.IMG_3300Abdallah Mrisho, Bakari Maggid na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia).IMG_3339IMG_3325IMG_3313Kuponi ya mshindi wa bahati nasbu ikisakwa hadharani kwenye rundo la kuponiIMG_3367Majina ya washindi wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba iliyofanyika Mbagala Zakhem Dar. IMG_3171Washiriki wakichangamkia magazeti ili waweze kujaribu bahati zao.IMG_3192Mshiriki akitumbukiza kuponi kwenye sanduku la kukusanyia maoni.IMG_3199Mshiriki akijaza kuponi ya Shinda NyumbaIMG_3208Wanenguaji wakitoa burudaniIMG_3215Mdada huyu akifanya yake.NYUMBA (1)Vijana katika ubora wao. IMG_3219Wakazi wa Mbagala wakifuatilia kwa karibu uchezeshwaji wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba.IMG_3255 (1)Jina la mshindi likisomwa hadharani IMG_3259Mshindi akipokea zawadi ya fulana.JAMAA AKICHAGUA KUPONI

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL

Next Post Previous Post
Bukobawadau