Bukobawadau

TANZIA:KIFO CHA PROF.LADISLAUS LWAMBUKA


TANZIA:Mwenyekiti wa kikundi kinacho saidia kutoa misaada katika jamii 'Lugoye Social Club' anasikitika kutangaza kifo cha mwanachama wao Prof Ladislaus Lwambuka (pichani) wa Ishozi -Katano,kilichotokea ghafla usiku wa jana Jijini Dar.
Mpango wa kusafirisha mwili wa Marehemu inafanyika,Taarifa ziwafikie Ndugu,jamaa,marafiki na wananchi wote wa Ishozi

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe....Ameen.!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau