Bukobawadau

BUKOBA YETU LEO JUMAPILI FEB 21,2016

 Muonekano wa Kisiwa cha Musila jioni ya leo Feb 21,2016
Ukanda wa ziwa Victoria


Taa za Solar zinazo angazia maeneo ya Hotel ya Kolping Mjini Bukoba.
Mitaa ya Uzunguni Bukoba
Omwana Koku Gtrezo Martin picha na Wakali wetu Nyumbani Studio waliopo Mjini Bukoba
 Mandhari ya Mji wa Bukoba kupitia Bukobawadau Media jioni ya leo Jumapili feb 21,2015
 Mandhari mbalimbali ya Mji wetu,lengo ni kukufanya uendele furahia Bukoba kupitia Bukobawadau
 Muonekano sawia wa Kisiwa cha Musila
 Otakaita.....!!
Aina ya Ndege wapatikanao kwa wingi Mjini Bukoba
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia Lakini pia tupo na uwezo mkubwa wa kupiga picha kwa kuzingatia umuhimu wa matukio Wasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,,0768 397241,0715 505043 @Bukobowadau @Nyumbani Studio Photography @Mc Baraka Galiatano Sirloom Galiatano. Bukobawadau Entertainment Media 
Jenge la abiria lililopo Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba

Majengo ya Shule ya Msingi Bilele
Majengo ya Chuo Kikuu Uhuria
Mpangalio wa kiaina wa nyumba za makazi ya watu Mjini Bukoba

Taswira majeno mbalimbali ya mjini Bukoba
Next Post Previous Post
Bukobawadau