Bukobawadau

DR Congo mabingwa wa CHAN Wazawadiwa Magari

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Joseph Kabila amempa kila mchezaji wa timu ya taifa, gari aina ya Toyota yenye thamani ya dola 60,000, kwa kushinda michuano ya CHAN. Rais Kabila pia aliwapa medali za dhahabu. DRC waliichapa Mali 3-0 jijini Kigali na kuwa timu ya kwanza kushinda michuano hiyo mara mbili.
Hii ni  ofa kubwa kutoka kwa Rais Kabila
Next Post Previous Post
Bukobawadau