Bukobawadau

MUFTI AHMED AL-KHALILY WA OMAN AWASILI BUKOBA ,AWAPONGEZA VIONGOZI WA IBADHI

Mufti Mkuu wa Oman  Sheikh Ahmed bin Hamad akisalimiana na wenyeji mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba,kushoto ni Ammy Sudi Fresh  (mwenyekiti ) wa Msikiti wa Istiqama mjini hapa
Katika ziara hiyo Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmad Al-Khaliyly, ameipongeza ofisi ya Viongozi wa Ibadhi Bukoba  kwa juhudi inazochukua kuwaunganisha Waislamu Mkoani hapa

Muendelezo wa mapokezi Uwanja wa ndege Mjini hapa
Baadhi ya Waumini Kiislam na dhehebu la Ibadhi wakiendelea kusalimiana na Mufti Sheikh Ahmed
 Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili akisalimiana na waumini wa dhehebu la Kiislam la Ibadhi waliofika kumpokea Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba
Mara baada ya kupokelewa mjini hapa Mufti Mkuu wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalil anaelekea kusaini kitabu cha Wageni,kabla ya kuelekea Msikitini na badae kutembelea Shule ya shule ya Istiqama Bukoba
Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmad Al-Khalily akiongozana na Viongozi wa Ibadhi wa Kitaifa na wenyeji wake wa Msikiti wa Istiqama Bukoba , pichani kushoto ni Ammy Sudi Fresh  (mwenyekiti ) na kulia ni Salum Shalfan ambaye ni Katibu wa Msikiti huo
 Muonekano wa msafara wa mapokezi ya Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmad Al-Khalily 
 Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmad Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili akiongea na waumini
Ndani ya msikiti ya Ibadhi Mjini hapa Sehemu ya waumini wa Kiislamu wakiendelea kumsikiliza Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili
 Mwenyekiti wa Msikiti wa Ibadhi Bukoba, Salum Khalfan kushoto akimkaribisha Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Sheikh Haruna Kichwabuta kutoa neno kwa ajili ya Ugeni huu.
 Matukio mbalimbali katika picha
 Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalil akisisitiza jambo katika maongezi
 Farid Al Qusaiby  pichani kulia wakati akitoa kitabu kwa ajili ya Wageni kusaini
Kiongozi wa Istiqama taifa Bw Self Ali Self pichani kulia akiongozana Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalil
ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO YA PICHA ZAIDI  NA MAELEZO YAKE
Next Post Previous Post
Bukobawadau